Hii ni movie iliyofanywa na vijana wa Mwanza Tanzania under Caza Media,
angalia na unauhuru wa kuidownload movie hii na kuisambaza mahali popote duniani.
Ni movie nzuri na ni Comedy, kwa wale wapenzi wa comedy basi hapa ndipo mahali pake.
Mahamnazo ni movie iliyosheheni vituko vya vijana watatu
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Full episod 1
Full episode 2
Full Episode 3
hii mwendelezo wake uko mbioni unaitwa #GHETO LA MAHAMNAZO wakiwemo mastaa tofautitofauti wa movie yaani Mambwende Khan na wengine wengi
karibu tufurahie pamoja kazi za watanzania hapa hapa tanzania. karibu sana.

Comments
Post a Comment