Ni wewe ni wimbo wa kiinjili ulioimbwa mashuhuri na muimbaji wa nyimbo za injili Lighton Josiah kutoka mkoani Mwanza.
Wimbo wa NI WEWE ni wimbo uliobeba ujumbe mzito wa changamoto zilizopo katika maisha ya kila siku lakini muimbaji huyu anonyesha mahali pekee pa tegemeo lale kufika ni Mungu pekee.
Karibu uusikilize vizuri wimbo huu wa Ni wewe ili upate kujifunza. Neno la ushindi kupitia Lighton Josiah.
Endelea kufarijiwa na neno la Mungu kutoka kwa Lighton Josiah
Amen.

Comments
Post a Comment