*USITOKE BABY NJOO HUKU*
ππ▫️Ni mwendo wa kung'ang'aniwa na sio kung'ang'ania upo.
ππ▫️Libwata la nini wakati unaweza kujituma.
ππ▫️Hivi mwali wangu unajua kulia kimahaba au kumlilia mume asitoke,hata kama huwez kulia igiza basi.
ππ▫️Yaan hapo mwanaume anajiona kama yeye ndio raisi,kujishebedua na kujidekeza muhimu bhanaa.Ukauzu ziachie dagaa.
*NAMNA YA KULIA KIMAHABA ILI KUMBAKISHA MUME NYUMBAN*
π⚪▫️1. Muite jina lake kwa madeko.
Hakuna kitu kitamu kama kumuita mtu jina lake au kuitwa jina lako na mjuzi wa kuliita..
ππ▫️Unaweza ukasema Iddy Wangu au Mansoor wangu au Ali wangu au Kwa wale waingereza ukasema My hubby D ukimaanisha mtu anaeanzia na herufi D kwenye jina lake,au my Honey B .
Sio umekazana wewe baba naniii aiiii usungo huo.
ππ▫️2. Mshike mkono au mikono yake akiwa anataka kutoka kwa kilio cha pozi.
ππ▫️Ukiona imeshindikana kumkalisha nyumban,wakati anataka kutoka mshike mikono yake kisha mtazame usoni kwa macho ya madeKO na kijiaibu cha kuact,
ππ▫️ Mwambie"My darling au Moha wangu unaniumiza unapotaka kuniacha,naomba kwa leo tu ubaki na Mimi"
Mengine utabuni Mwari
ππ▫️3. Mvute na umkumbatie au umbusu anapotoka.
Na kile kilio cha uongo na kweli kisikosekane Mwali.
ππ▫️Asipoghairi kwenda anapotaka basi jua anapoenda kuna umuhimu sana.

Comments
Post a Comment