YAJUE MAMBO YANAYOVUNJA NDOA 

Yafuatayo ni maisha yanayofanya ndoa nyingi kutodumu hata hazifiki miaka 25

1_Tamaa ya Kimwili 

Ndoa nyingi wanaoana ili kujiridhisha kimwili yani mtu anaoa ili apate hitaji la ngono kwa wakati 


2_Uaminifu kukosekana kwenye ndoa 

Ndoa nyingi hazidumu kutokana na wanandoa kukosa uaminifu yani kila mmoja ni muongo kwa mwenzie yani hakuna anayemwambia ukweli mwenzie ni mwendo wa kuongopeana tuu 

3_Kutopata mtoto kwa wakati kwenye ndoa

Ndoa nyingi hazidumu nayo sababu inayofanya kutodumu ni kutopata mtoto kwa wakati yani wanategeana kupata mtoto wawili hao wanakosa uaminifu yan hakuna anayemuamini mwenzie 

4_kutomuabudu Mungu 

Dini au imani inafanya wanandoa wengi hawana muda wa kumuabudu mungu,ndoa nyingi zinaendekeza kujivinjali kuliko kumuabudu mungu sasa hilo suala linapelekea kuvunjika kwa ndoa kwa kukosa imani kati yao hao wanandoa 

NINI CHA KUFANYA?

1_IWEPO IMANI THABITI 

2_UWEPO UPENDO WA DHATI

3_KUWEPO NA MUDA MWINGI WA KUMUABUDU MUNGU 

Yakifanyika hayo ndoa zitadumu sana 


Comments