⚠️😳🥰 Mwanamke huyo mwenye miaka 71aliyevaa sash inayosomeka "paso" amejitosa katika kinyang'anyiro cha kushiriki shindano la umisi Texas 2024 nchini Marekani


Ingawa Marissa Teijo hajafanikiwa kuibuka kidedea katika shindano hilo lililomalizika lakini anasema ana furaha kwa kitimiza ndoto yake ya kushiriki umisi baada ya kutifuana na warembo wenzie takribani 100 ambao walikuwa wabichi kiumri


Marissa ambaye pia ni mwanamitindo , ameweza kishiriki baada ya waandaaji wa Miss Universe kuondoa kikomo cha umri katika mashindano hayo maarufu duniani 


Mshindi wa Miss Texas anaenda kushiriki Miss Marekani 2024 mwezi August


Picha zaidi za mdada huyo kwenye comments section

Comments